Kikwambi

Kikwambi ni lugha ya Kibantu nchini Namibia inayozungumzwa na Wakwambi. Mwaka wa 2006 idadi ya wasemaji wa Kikwambi imehesabiwa kuwa watu 32,700. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kikwambi iko katika kundi la R20.


© MMXXIII Rich X Search. We shall prevail. All rights reserved. Rich X Search